Kutafuta maisha Zanzibar

Kutafuta maisha Zanzibar

masokolindo

New Member
Joined
Sep 24, 2019
Posts
3
Reaction score
6
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa na ndoto tangu zamani kuja kutafuta maisha visiwani hususani unguja nimepata milioni mbili sasa nahitaji wajuzi wa visiwa hivi wanijuze kipi ninachopaswa kutimiza ili kuwekeza kwa kiasi nilichopata kwa biashara yoyote ambayo naweza kufanya huko naimani ntapata ushauri wa kunisaidia ahsanteni wana JF
 
Kule utalii ndio nyumbani kwake na mazao ya baharini kuna kipindi tulikuwa site ya ujenzi chakula kilikuwa inshu kubwa angalia hizo fursa
 
Cha msingi usianze kutamani watoto wa kike huko,Zenj sio Dar unakutana na demu kwenye dala2 unamtokea na siku hiyohiyo unaenda kuua ninja(kugegeda)
 
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa na ndoto tangu zamani kuja kutafuta maisha visiwani hususani unguja nimepata milioni mbili sasa nahitaji wajuzi wa visiwa hivi wanijuze kipi ninachopaswa kutimiza ili kuwekeza kwa kiasi nilichopata kwa biashara yoyote ambayo naweza kufanya huko naimani ntapata ushauri wa kunisaidia ahsanteni wana JF
Udini + ubara ni changamoto jiandae navyo hakuna watu wa kuku impower wafanya biashara wengi ni wazawa kitu kinachoweza kukusumbua itategemea Aina ya biashara ...wa bara wengi znz ni waajiliwa hotel na kampun nyingine.. lakin dar Kuna fulsa nyingi Sana mkuu kwann Zanzibar... Ramadhan kunashida Sana ya chakula usisahau hilo
 
Kule nenda na mkeo.
Tahadhari kuna jamaa wa TRA anaitwa Kirigo hua anagawa pesa ovyo ovyo.
 
Write your reply...Mbona mnatisha kijana ...Kuna wengine huku wamefika wakapokelewa sa hivi ni matajiri wengine viongozi na wana nyadhifa kubwa serikali tumia fursa unayoona itakufaa
 
Back
Top Bottom