NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
-
- #101
As I said, that was deliberate move - actually nafikiri kuna baadhi ya kina mama wanao pedelea kuguswa guswa na madudu hayo wakati wanasukwa - mambo ya "kisaikolojia" hayo - sioni sababu nyingine ya wamasai hao ku-behave kivile walisha wasoma some weakness za baadhi ya akina mama ndio maana wanakuwa na ubavu wa kuendelea na tabia hiyo.
Siku moja mama fulani aliwahi kunipa kisa kimoja, alisema kuna Mmasai fulani katika mazungumzo aliwahi kumwambia kwamba unajua ni rahisi sana mwanamke kujikuta yuko chini na asijue kilicho mtokea mpaka akajikuta katika hali ile, mama yule akasema nilimbishia mwishowe Mmasai akamwambia njoo usimame karibu na mimi - kule kumkaribia tu akajikuta yuko chini!! Anasema akumbuki vizuri kama alimgusa kwa mkono au mguu - hapa nazungumzia kisa, nataka nieleweke kwamba Wamasai hawana tabia za kijinga za kuwabaka wanawake au nini sijui, wanatumia mbinu tu.
Habari Wana Chit-Chat,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu, Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati.
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia J'pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmmhhh
Wamenizunguka Wamasai wa 5 sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari, nilistahmili kama nusu saa simu yangu ilipoita nikawambia waniache, nilipomaliza simu nikawambia ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea sikurejea tenaa.
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
Sasa hivi nimekua mkurya.khaswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!... Zamani ulikuaa Mmasai na sasaivi umekuanani yailahi toba?
mmmmmmmmmm,imekuaje ukabadilika ghafla bin Vuu?S
Sasa hivi nimekua mkurya.
mmmmmmmmmm,imekuaje ukabadilika ghafla bin Vuu?
Kwasababu siku hizi wamasai wamekua wanaume wa Dar pia(vimeo),So nikaona ni bora nijiondoe tu sasa maana hakuna namna!! Ni hivyo tu mama!!!mmmmmmmmmm,imekuaje ukabadilika ghafla bin Vuu?
ooooooooooooh,hapo nimekufahamu...Kwasababu siku hizi wamasai wamekua wanaume wa Dar pia(vimeo),So nikaona ni bora nijiondoe tu sasa maana hakuna namna!! Ni hivyo tu mama!!!
Kwani na wewe mumeo ni mwanaume wa Dar?ooooooooooooh,hapo nimekufahamu...
mie hata sujui wanaume wa Dar wakoje? ila najua kama kwa wivu anaongoza...lolKwani na wewe mumue ni mwanaume wa Dar?
Basi huyo ni wa Dar sasa. Maana wa Mikoani tunajiamini sana na hatuna aja ya kumchunga mtu.mie hata sujui wanaume wa Dar wakoje? ila najua kama kwa wivu anaongoza...lol
ivoooooooooo!! kwahiyo Wanaume wa Dar Hawajiamini eeh?Basi huyo ni wa Dar sasa. Maana wa Mikoani tunajiamini sana na hatuna aja ya kumchunga mtu.
Inshallah...Nilikwambia kuhusu suala la sakolojia, fanya psychoanalysis ya majibu ya WHITEHORSE what does that tell you about her/his persona? Mark you simsemi kwa nia mbaya hapa tunaelimishana tu. Wenda ikawa alikuwa anatania au nini sijui - lakini ndio hivyo tena - now you know why Wamasai wasusi behaves theway they DO wana washabeki ndio maana.
hahaha mdau na ww ulikuaga masai sasa kama ulikua usuki watu ulikua unafanya kazi gani yAha, basi nimeshapafahamu maana ata mimi zamani nilikuaga mmasai ila nilikua sisuki watu, si ni pale upande wa kushoto kama unataka Bungoni kuja Sokoni ilala??
Nilikua natembeza dawa tu basi..hahaha mdau na ww ulikuaga masai sasa kama ulikua usuki watu ulikua unafanya kazi gani y
Hapa mwenyewe najiuliza... Alikaa mkao upi akisukwa mpaka ivyo vi dudu vimguse guse... Maana mpaka kuitwa vidudu ni vingi basi vilimsonga!Labda wanafanya makusudi, inakuwaje wakuguse kiasa cha wewe kujua/kadria urefu wa madudu yao!!
Kwani hawavai underwear au kaptura au kuyafungia kwenye kibuyu kama wanaume wa Papua NewGuinea!
yan wew pale vlivyotoka na simu unawarudia na spray yako ya 5000, unawapulizia kama unaua mbu na runguHabari Wana Chit-Chat,