asiyetabirika
Member
- Oct 14, 2019
- 46
- 56
Hivi kibaraka ni nini ? huenda wanaoita wenzao vibaraka ndio vibaraka.., hakuna mtu mwenye hati miliki ya hii nchi, kwamba anachosema ndio sawa na wengine kila wanachofanya sio sawa sababu eti tu inatofautiana na yeyeHana lolote ni kibaraka tu. Aliaminishwa na vibaraka wenzake kwamba hatafanywa lolote. Sio lazima upewe barua ya kufukuzwa kazi wakati mkataba wa kuajiriwa unao. Amuulize Zito Kabwe mshiriki mwenza.
Wewe kibaraka mkubwa wa fisadi mkuu asiytaka kukaguliwaHana lolote ni kibaraka tu. Aliaminishwa na vibaraka wenzake kwamba hatafanywa lolote. Sio lazima upewe barua ya kufukuzwa kazi wakati mkataba wa kuajiriwa unao. Amuulize Zito Kabwe mshiriki mwenza.
kuna watu wanaanza kumtizama huyu bwanaYaani kupitia kauli zake na hoja zake kunaonesha hali fulani ya kujiamini, yaani tokea akiwa madarakani hata baada ya kutenguliwa nimemsikia akisema hajapewa barua ya termination.
Tofauti na matarajio kuwa angekaa kimya na kutafakari uelekeo mpya hasa baada ya kibarua chake kukoma, bado misimamo yake inaendelea na anaonyesha hali ya kujiamini kana kwamba hajali chohote na kwake ni kama ni tukio alilolitarajia kabla.
Hivi huyu Prof. ni mtu wa aina gani?, Je, anaringia elimu yake kuwa ataenda mamtoni kuitumia elimu yake kwenye taasisi za mabeberu, au anaongea kuisimamia haki?
Au tuseme ni kiburi cha kitaaluma tu anatakiwa apuuzwe?View attachment 1254064
Hana lolote ni kibaraka tu. Aliaminishwa na vibaraka wenzake kwamba hatafanywa lolote. Sio lazima upewe barua ya kufukuzwa kazi wakati mkataba wa kuajiriwa unao. Amuulize Zito Kabwe mshiriki mwenza.
Kwa hiyo hapa kuna utawala wa kifalme jiwe?Huyu ndio professor na yule ndio mfalme mwenye serikali yake.
Unaninukuu?Kwa hiyo hapa kuna utawala wa kifalme jiwe?
YaUnaninukuu?