Kusoma

Adjutis Junior

Senior Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
118
Reaction score
23
Habarini wanajF

Eti naweza kuhamia shule na kusoma combi zifuatazo nikiwa na cut point husika
PGM - CCD - 10
EGM - *CD - 7
CBG - DCC - 10

Naweza kusoma hizo comb moja wapo
Ahsanteeni
 
weka matokeo yako yote usaidiwe vizuri. ila lazma uwe na C 3 na kuendelea hata kama sio masomo ya kombi, kwangu naona inawezekana labda kama wamebadili mfumo
 
Habarini wanajF

Eti naweza kuhamia shule na kusoma combi zifuatazo nikiwa na cut point husika
PGM - CCD - 10
EGM - *CD - 7
CBG - DCC - 10

Naweza kusoma hizo comb moja wapo
Ahsanteeni
Unaweza kabisa kuzisoma ila kwa ushauri mfupi kama unauwezo kifedha nenda diploma au soma CBG
 
weka matokeo yako yote usaidiwe vizuri. ila lazma uwe na C 3 na kuendelea hata kama sio masomo ya kombi, kwangu naona inawezekana labda kama wamebadili mfumo
Nina 2.21
Sina F
Nina D ya Math na Chem
Na C zote

Anhaaa kwahiyo naweza kusomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…