prezdesho
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 150
- 79
Kwanza kabisa nimpongeze waziri wa elimu kazi yake nzuri anayoifanya katika sekta yaelimu.....
Siwezi kusema moja kwa moja ni kwauzuri gani kwasasa kwakuwa wizara hii ni kama kivuli amakitengo fulani ambacho kipo ndani ya TAMISEMI....Hii ni kwakuwa kwa sasa wizara hii imekuwa ikisimamia sera na utekelezaji wake lakini haina meno ya kurekebisha ndani ya utendaji yaani wizara ya elimu haihusiki tena na mwalimu kwani mwalimu yupo chini ya TAMISEMI,Wizara ya elimu haihusiki na wanafunzi kwani kwa sasa udahili,ubora na uchaguzi vinafanywa na mamlaka kamili ya TAMISEMI,wizara ya elimu haisimamii tena na walahaihusiki na miundombinu yote ya elimu kwani kwa sasa vipo chini ya TAMISEMI.
kwa maana hiyo wizara ya elimu ipo kwa ajili ya sera tu na utekelezaji wake lakini hatakama itajua lakini haina hakika WALIMU WANAMAZINGIRA GANI,CHANGAMOTO ZA ELIMU NA MAPUNGUFU YAKE na ndiyo maana sikushangaa nilipo msikia waziri akisema "MASOMO YA SAYANSI LAZIMA KWA SEKONDARI".
Siwezi kumlaumu waziri kwakuwa anatekeleza majukumu yake ya kuwa na sera itakayo endana na uchumi wa viwanda na hii ni kwakuwa hawamiliki waalimu hivyo hafahamu kiuhalisia(mbali na hiyo anayoletewa kwenye makaratasi) tunaupungufu kiasi gani cha walimu wa sayasnsi na je waliopo wapo kweli?
Lakini sambamba na hilo kwa hafahamu walimu wa sayansi wanakabiliana na changamoto zipi.
Kwa kuwa waziri shule hazipo chini yake hafahamu je zinachangamoto gani ya miundombinu sayansi.
Katika kujifunza kunakitu kinaitwa UTAYARI jambo ambalo lazima uwenalokabla ya kujifunza...na UTAYAR huu huwa unajengwa tokea kwenye elimu ya awali na msingi......
Swali elimu ya awali na msingi kwa TANZANIA huwa watu hawaijali kabisa ndiyo maana usishangae mwalimu wa hesabu huyo huyo kiswahili,uraia,stadi za kazi, tehama n.k hapo unategemea mtoto anaandaliwa kujua hesabu na mwalimu wa hesabu au wasomogani....
Tatizo siyo neno lazima tatizo ni je maandalizi yake huku chini tangu awali na msingi yapoje