Kassimu Mchuchuri
Member
- Aug 9, 2018
- 95
- 294
Kusoma sana ni kufanikiwa kimaisha, inategemeana na maamuzi ya aliyesoma anaitumia aje hiyo elimu.Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo
Kusoma sana bila plan ndio sio kufanikiwa mzee baba....tutasoma mpaka material ya kutengeneza kalamu yaishe...
"Education is the process of wasting half of our life to learning how to waste remaing half of our life"
Kusoma sana ni kufanikiwa kimaisha, inategemeana na maamuzi ya aliyesoma anaitumia aje hiyo elimu.
Unaouita ni ushauri sio ushauri, labda ulijaribu kumliwaza japo hata hayo maneno uliyotumia nayo hayamjengi bali kumbomoa.
We naye ni mkuda kweli, yaan ndo ukaona umuandikie uzi kabisa?Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo
Pia tungefaham tafsiri ya kufanikiwa ni ipi, naomba kujua mtu ukisema kijana fulan Kufanikiwa, nini kinakua kimepimwa!Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo