Kusoma nje ya nchi

Kusoma nje ya nchi

Utaratibu ukishapata chuo husika cha nje ya nchi lets say China, India au popote dunian, unaenda TCU kupata No Objection Certificate kwa ajili ya kukitambua na kutathmini kama una sifa ya kujiunga kozi hiyo tajwa! Then ukipata unaendelea na hatua zingine za admission kweny chuo hicho!
 
Asante
 
Back
Top Bottom