Kusoma masters ya education

Kusoma masters ya education

Ndio maana watanzania ni watu wa ajabu. Jibu ulichoulizwa. Afanye mingine yapi? Kama ameishayafanya amebakiza kusoma tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanataka kila mtu awe na ndoto moja tuna ile hulka ya kua ukitaka pesa jiajiri na ukipata pesa una furaha
Kuna watu ndoto zao sio kumiliki pesa ni kusoma maybe awe mtu fulan nchini na duniani pia
Hii kauli ya jiajiri ipungue inatosha sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaomba kujuzwa je GPA 2.6unaweza soma master ya education either kupitia Open university au kupitia vyuo vya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasoma baadhi ya vyuo sio vyote! Ulikua unafanya nn hiyo degree ya kwanza mpaka ugonge gentleman pia sikushauri kufanya uzamili katika elimu mana haitambuliki ila kama unatarget na kuna mjomba mbele piga tuu! Ila kwasasa Elimu sio mkombozi wetu
 
Fafanua kidogo hapa mzee mwenzangu ili nikupate sawasawa maana nilihitaji nisome hiyo kitu
 
USIMKATISHE MTU TAMAA COZ SIO LAZIMA WOTE TUFANYE KITU KIMOJA WALA TUWE LEVEL MOJA AU WOTE TUFANYE BIASHARA,,, KILA FANI AU KAZ INATEGEMEANA SO NI UAMUZI BORA TU
Ni kweli mkuu but master ya education!?....Kweli kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom