Sahivi kipaumbele chako ni kusoma master or connection ya ajira???
[/QUOTEkusoma master ni ghali hilo unajua nafatilia schoolarship fulani hzo za SiDA kuna Prof mmoja alinambia zinakuwepogo hapa udsm ni za pure mathematics na mathematical modelling Kama zikitick nitaenda kusoma master otherwise nitaendelea kutafuta ajira ndo hivyo kaka