Don king shebby
Member
- Apr 4, 2019
- 78
- 52
Ndio unawezahabari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweweza uoaunga kusoma master
Ndio unaweza
[unatumia vyeti gani admission inaanza wa kumi na moja au wa kumi hapo vyeti sivinakuwa havijatoka kaka au unause provisional results ndo nataka kujua kaka nataka kufanya hivyo Kama possible
Yaani finalist UDSM hata kuandika vizuri tabu!?habari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweweza uoaunga kusoma master
typing error is common ww contribute tu kuhusu my topic hapo juu cha msingi umeelewa kujua kuandika kutojua is not big dealYaani finalist UDSM hata kuandika vizuri tabu!?
sawa kaka asante kwa kunijuzaProvisional result/transcript
Pamojasawa kaka asante kwa kunijuza
It is a big deal. Unaweza kupimwa umakini wako kuanzia hapo.typing error is common ww contribute tu kuhusu my topic hapo juu cha msingi umeelewa kujua kuandika kutojua is not big deal
ww hukupaswa kunicriticize Kwanza ungenipa ushauri kuhusu mada yangu then hayo mengine ingekuwa next chapter mbona ilikuwa simple sana ww utakuwa complicator tuIt is a big deal. Unaweza kupimwa umakini wako kuanzia hapo.
Kizazi hiki cha Jiwe mna tabu sana!ww hukupaswa kunicriticize Kwanza ungenipa ushauri kuhusu mada yangu then hayo mengine ingekuwa next chapter mbona ilikuwa simple sana ww utakuwa complicator tu
hamna tabu nikueleweshana hakuna mtu anajua vyoteKizazi hiki cha Jiwe mna tabu sana!
Master ndio kitu gani hichohabari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweza ukaunga kusoma master
Ndiyo unaweza...unataka kuunga master??habari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweza ukaunga kusoma master
master degree kwa kiswahili shahada ya uzamiliMaster ndio kitu gani hicho
ndio kaka nataka niunge nataka master ya mathematics au physics lakini interest zangu Sana ni master of mathematical modellingNdiyo unaweza...unataka kuunga master??
Connection za ajira hutaki tena???ndio kaka nataka niunge nataka master ya mathematics au physics lakini interest zangu Sana ni master of mathematical modelling
nazihitaji zote napenda nitafanya tu kwa muda lakini malengo yConnection za ajira hutaki tena???
kuzihitaj nazihtaj zote lazima niwe niangalie fursa nying nying japokuwa kusoma master ni malengo yanguConnection za ajira hutaki tena???
Finalist eeh !!!? Basi sawahabari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweza ukaunga kusoma master
sawa kakaFinalist eeh !!!? Basi sawa