Kusoma hamjui hata picha hamuoni.................? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusoma hamjui hata picha hamuoni.................?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtambuzi, Jul 11, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,752
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tunaona picha, mkuu. Tena ni picha ndani ya picha. Mwanamke anaonekana kubishana na sanamu ya mwanaume iliyovishwa nguo, na kwa mbali kidogo kuna picha ya mtoto iliyo ktk fremu. Hahahaaa!!
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,003
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  me nimeona maandishi tu mkuu...
   
 4. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama anataka, jama najenga visingizio!! katoka kuchakachua nje!!
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,752
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona dogo naye anasikiliza.........?
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,074
  Likes Received: 1,530
  Trophy Points: 280
  Ahaaa ......na mtoto akizaliwa anajua sauti ya baba!!tamu sana!!
   
Loading...