Myombes
Member
- Mar 27, 2025
- 5
- 4
Wakuu nakuja kwenu kuomba msaada wa jinsi ya kujiunga na chuo cha SHERIA, LAW SCHOOL OF TZ. Mambo ninayohitaji kuyafaamu ni
1. Kama naweza kusoma online
2. Gharama za kujiunga, ada na mahitaji yanayohusishwa.
Baadhi ya taarifa nimezipata kupitia tovuti yao lkn nimebaki na maswali hayo.
Elimu yangu ni kidato cha 6 miaka 11 iliyopita pia nina shahada ya utawala wa utalii na hotel, kimataifa.
Kwa sasa nawaza kujiendeleza kielimu na shahuku yangu ni kusomea SHERIA hivyo naomba msaada juu ya vipengere tajwa hapo juu na kama niko na sifa ya kujiunga.
Makazi ni mwanza hivyo access ya kufika chuo na kupata taarifa hizo ni changamoto kutokana na umbali na ndy maana nimeamua kutumia jukwaa hili.
Naamini nitapata usaidizi, kila lililo jema kwenu.