KUSITISHWA UUZAJI WA LUKU!!

KUSITISHWA UUZAJI WA LUKU!!

tundu007

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
260
Reaction score
136
habary zenu mabibi na mabwana!! kuna taarifa zinazagaa eti hakutakua na mauzo ya luku kwa muda wa siku tatu!nimeleta kwenu ili tujuzane kama ni oficial hizi taarifa au ndo upepo tu unapita!!nawasilisha!!.
 
Tanesco wamesema huduma zitaendelea kama kawaida.

Labda haitauzwa duka lililokaribu na wewe
 
Tanesco wamesema huduma zitaendelea kama kawaida.

Labda haitauzwa duka lililokaribu na wewe
[emoji1] [emoji1]
Haya mashirika yetu ya Uma si yakujiaminisha namna hiyo... Ni Vema kuwa na Taadhari..
 
Back
Top Bottom