Ah *****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu acha bangi ujue[emoji23][emoji23]Nilisingiziwa mimi ni billionea, nililia kwa uchungu mkubwa
Kumbe wewe ndiwe uliyenisingizia kuwa mimi ni mlevi wa gongo, mvuta bangi, mbinafsi, msengenyaji, mlafi, mchawi, kibaka, mzinzi, jambazi, mchoyo, mchafu, mkorofi/mkatili, kiherehere, muuaji na sitaweza kukuoa kwa hizo sababu?
Niko hapa nnje mlangoni kwako toka ndani uje nje nikukung'ute vizuri ili uwe na adabu.
Nimemwambia mafi ya mbusi yake.Haha mwambie akukome
Pole sana aisee, Iyo ya primary imenikumbusha kuna jamaa yangu alikuwa na mdogo wake wa kike, Sasa yule mdogo wake tulikuwa tunasikia tu uvumi kama anatembea na mwl wa Hisabati tukawa tunamtania kumbe ilikuwa inamuumiza moyoni,Akaenda kusema nyumbani kwao yule binti akachapwa sana. Baadae kama siku 2 hivi, mwl alitoa zoezi gumu sana bila kutoa mda wa kukusanya akaondoka na tulishazoea kukusanya ni mda wowote tu aisee alirudi zimebaki dakika 10 kipindi chake kuisha akaomba kazi yake. Cha kushangaza wadada wengi akiwepo yeye walikuwa wamefanya na vidume wachache. Ikaja ikaniangukia nami sijafanya kwenye kundi moja na huyo kaka yake. Ndo siku niliochapwa bakola 5 utadhani anaua nyoka siwezi sahau hadi sasa ila bahati nzuri mwl mkuu alikuwa rafki yake mzee nlienda kumweleza wakamkanya.