M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 Nov 26, 2018 #1 Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria.
Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria.
IGWE Platinum Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,744 Reaction score 8,187 Nov 26, 2018 #2 Jifunze kujieleza mkuu,...eleza ilikuwaje mpaka mmefikia kufukuzana kazi
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,868 Reaction score 15,735 Nov 27, 2018 #3 Katus Manumbu said: Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria. Click to expand... Unatakiwa kupewa tuhuma zako kwa maandishi, ujitetee, upewe na uwakilishi kisheria, upatikane na Makosa,ujulishwe kwa maandishi ndiyo upewe adhabu.
Katus Manumbu said: Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria. Click to expand... Unatakiwa kupewa tuhuma zako kwa maandishi, ujitetee, upewe na uwakilishi kisheria, upatikane na Makosa,ujulishwe kwa maandishi ndiyo upewe adhabu.
M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 Nov 27, 2018 Thread starter #4 balibabambonahi said: Unatakiwa kupewa tuhuma zako kwa maandishi, ujitetee, upewe na uwakilishi kisheria, upatikane na Makosa,ujulishwe kwa maandishi ndiyo upewe adhabu. Click to expand... Ahsante kk
balibabambonahi said: Unatakiwa kupewa tuhuma zako kwa maandishi, ujitetee, upewe na uwakilishi kisheria, upatikane na Makosa,ujulishwe kwa maandishi ndiyo upewe adhabu. Click to expand... Ahsante kk
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,868 Reaction score 15,735 Dec 17, 2018 #5 Katus Manumbu said: Ahsante kk Click to expand... Poa mkuu
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Dec 17, 2018 #6 Alaaniwe magu! Waajiriwa wanawindwa kuliko digidigi.
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Dec 17, 2018 #7 Katus Manumbu said: Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria. Click to expand... Sema aina ya kazi na aina ya mkataba ulionao na muda ya mkataba uliobaki kabla ya kusimamishwa kazi.
Katus Manumbu said: Wanasheria naomba kufahamishwa taratibu zipi zinatakiwa kufanyika kabla ya mwajiriwa kupewa barua ya kusimamishwa kazi kisheria. Click to expand... Sema aina ya kazi na aina ya mkataba ulionao na muda ya mkataba uliobaki kabla ya kusimamishwa kazi.
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,332 Reaction score 9,542 Dec 17, 2018 #8 jogi said: Alaaniwe magu! Waajiriwa wanawindwa kuliko digidigi. Click to expand... Haha dah,kila kitu ni magu
jogi said: Alaaniwe magu! Waajiriwa wanawindwa kuliko digidigi. Click to expand... Haha dah,kila kitu ni magu
M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 Dec 17, 2018 Thread starter #9 GIUSEPPE said: Sema aina ya kazi na aina ya mkataba ulionao na muda ya mkataba uliobaki kabla ya kusimamishwa kazi. Click to expand... Mkataba wa kudumu kk
GIUSEPPE said: Sema aina ya kazi na aina ya mkataba ulionao na muda ya mkataba uliobaki kabla ya kusimamishwa kazi. Click to expand... Mkataba wa kudumu kk