Baada ya barua hii:
Nichukue nafasi hii kuwapongeza Serikali kwa mwitikio wa haraka tena usiku.
Ilikuwa inaleta hofu kuu kwa wananchi.
Hamna kitu kama hicho maana instruments zilikua zaonyesha bei kama hizo ni websites ambazo huwezi trade nazo...Yaani hapo ni kwamba jana Nov 02 bei ya Usd ilikuwa ni sawa na sh 2245 lakini hadi leo Nov 03 saa 21.54 pm Bei ya 1usd kwa shilingi ya kitanzania imekuwa ni 2319.
Hapa kwa wale wazee wa PIPS watakuwa wameshaelewa hili ongezeko ni la kiasi gani
Wamesharekebisha, naona Zitto na Bavicha mlishajiandaa kesho mtukane uchumi unaporomokaHawa wajinga uongo upo damuni mwao 1 USD ni sawa na 2548 tshs sijui yanapata faida gank kwa uongo wa kijinga huu
mbona bado ipo 2500Tutaisoma namba,hata bado huu mwanzo tu,,,tutafikia kama Zimbabwe
still 2548.21 duu au mpaka weekend iishe?Wamesharekebisha, naona Zitto na Bavicha mlishajiandaa kesho mtukane uchumi unaporomoka
View attachment 623740
What contributors? Is it people?
Anyways, BOT wanaweza wakawa right. Kwenye google imeshuka. Imerudi pale Ilipokuwa. So no need to panick people.
Hizo ni website hazijarekebisha..mbona bado ipo 2500
Kwahiyo hapa wazee wa forex trading wamepiga pesa....ndefu sanaYaani hapo ni kwamba jana Nov 02 bei ya Usd ilikuwa ni sawa na sh 2245 lakini hadi leo Nov 03 saa 21.54 pm Bei ya 1usd kwa shilingi ya kitanzania imekuwa ni 2319.
Hapa kwa wale wazee wa PIPS watakuwa wameshaelewa hili ongezeko ni la kiasi gani
# Haiongopi MzeeeHawa jamaa waongo kweli kweli, mi nimetoka kutuma pesa kwenda Tanzania muda huu kwa mtandao wa world remit. ..pound moja unabadilisha kwa shilingi 3,184.
Wkt jana tu ilikuwa ni 2877 hivyo utaona jinsi shilling ilivyoshuka kwa ghafla tena kwa kiasi kikubwa sana
Hawa jamaa waongo kweli kweli, mi nimetoka kutuma pesa kwenda Tanzania muda huu kwa mtandao wa world remit. ..pound moja unabadilisha kwa shilingi 3,184.
Wkt jana tu ilikuwa ni 2877 hivyo utaona jinsi shilling ilivyoshuka kwa ghafla tena kwa kiasi kikubwa sana