Fanya kautafiti kadogo ka bei katika masoko mawili matatu, waweza nunua hapo cheap ukasafirisha pahala ukatengeneza margin kidogo sio mbaya, nyanya bei zake huenda na msimu usife moyo. Au Jaribu tikiti!Habarin wana jukwaa, naomba ushaur kwa wataalamu na wajuzi wa kilimo, baada ya maisha kutaiti ktk mwaka huu w 2016, niakona si vibaya kunari u kitoma mjin na kijarib fursa shamba, lkn nilikuja kwa kujipanga kulima nyanya, sasa nimekuta nyanya huku inauzwa mpaka ujazo wa ndoo ya lita 20 tshs 1000, sasa najarib kuwaza je hii bei itapanda ama laaah? Mana naona wengi wamelima tena nyanya huku japo kuna mdololo wa soko, nawasilisha tafadhal ushaur labda zao gan laweza faa kwa ss na likanitoa
Tatizo letu kubwa ni kwamba tunapenda kuigana miradi na huwa hatuna ubunifu pamoja na mipango ya biashara.Habarin wana jukwaa, naomba ushaur kwa wataalamu na wajuzi wa kilimo, baada ya maisha kutaiti ktk mwaka huu w 2016, niakona si vibaya kunari u kitoma mjin na kijarib fursa shamba, lkn nilikuja kwa kujipanga kulima nyanya, sasa nimekuta nyanya huku inauzwa mpaka ujazo wa ndoo ya lita 20 tshs 1000, sasa najarib kuwaza je hii bei itapanda ama laaah? Mana naona wengi wamelima tena nyanya huku japo kuna mdololo wa soko, nawasilisha tafadhal ushaur labda zao gan laweza faa kwa ss na likanitoa
Tatizo letu kubwa ni kwamba tunapenda kuigana miradi na huwa hatuna ubunifu pamoja na mipango ya biashara.
Tukiona bar inalipa basi kila mmoja wetu atawekeza hata ikibidi mtaa mmoja, tukiona bucha inalipa ni hivyo hivyo na kwenye kilimo ni hivyo hivyo. Hivi sasa kila mtu mwenye kashamba anataka kulima matikiti maji nyanya na kadhalika na matokeo yake ni kuwa supply inaoutstrip demand kufanya soko liwe glutted na bidhaa
Mimi sinatatizo lolote na kilimo ila ninachosema kabla kuamua zao gani la kulima[pamoja na aina ya ardhi n.k] ni budi ufanye utafiti ambao utaainisha hata soko pamoja na muda.Sasa mkuu, lakini kumbuka kuwa serikali yetu imekuwa ikihamasisha vijana kufanya kilimo. Sasa vijana wameitikia wewe unasema wanaigana?. Point iko hivi, tatizo kubwa la biashara ya kilimo huwa ni upatikanaji wa soko, hili ni tatizo sugu kwa asilimia kubwa ya mazao. Bila soko la nje kupatikana kilimo kitaendelea kuwa chini
Mimi sinatatizo lolote na kilimo ila ninachosema kabla kuamua zao gani la kulima[pamoja na aina ya ardhi n.k] ni budi ufanye utafiti ambao utaainisha hata soko pamoja na muda.
Ninakumbuka wakati niko mdogo, mabucha mengi ya kariako yalikuwa ni ya washihiri[hawakwenda shule hawa] lakini walicho kuwa wanafanya ni hivi[[mfano] walikuwa wanaangalia maeneo mifugo ilipo [kwa hapa ninazungumzia dodoma]
pia aina ya watu wenye mifugo hiyo. Kwa dodoma nilikuja kuelewa baadaye ni kuwa wagogo ni wakulima wazuri sana na pia ni wafugaji wazuri pia. Baada ya mavuno kwa wagogo ilikuwa ni sherehe na pombe lakini na walikuwa wanauza mazao yao karibu yote. Mnunuzi mkubwa walikuwa ni washihiri ambao walifungua maduka huko ogogoni. Wakati mazao ya wagogo yakiisha walikuwa wanaenda kwa washihiri hao na kubadilisha debe la mahindi kwa mbuzi/ngombe. Hawa jamaa walikuwa wanawasafirisha na kuleta dar. Bei ya nyama waliyokuwa wanauza ilikuwa ni ya chini kiasi huwezi kushindana nao na matokeo yake wakawa matajiri sana wakaweza kusomesha watoto wao ambao leo wengi wao ni matajiri wakubwa.
Ninachotaka kueleza hapa ni kuwa bila utafiti wa kina ni hasara tuu.
Ninakubaliana nawe ila kama nilivyoelezea awali tufanye utafiti wa kutosha kwani ikiwa kila mmoja wetu atakuwa anajishughulisha na mradi wa aina moja ni lazima soko litaanguka. Ila ninadhani hata hizo nyanya na matikiti tukiwa wabunifu bado yanaweza kulipa kama tukiwekeza kwenye usindikajina ufungaji kwa kutumia teknologia rahisi za veta/sido ambapo tunaweza tukatengeneza tomato pulp/juice na matikiti maji kama juice.Sawa mkuu, lakini kwa msimu uliopita kulikuwa na muamko mkubwa sana wa kilimo cha nyanya na matikiti, hii imesababisha matikiti na nyanya kushuka bei. Ilikuwa ni vigumu sana kujua nani analima na nani halimi
Hebu piga namba hii kwa ushauri 0685 810 420Sawa mkuu, lakini kwa msimu uliopita kulikuwa na muamko mkubwa sana wa kilimo cha nyanya na matikiti, hii imesababisha matikiti na nyanya kushuka bei. Ilikuwa ni vigumu sana kujua nani analima na nani halimi
Nyanya imeua mitaji ya wajasiliamali wengi tatizo zipo nyingi halafu serikali wamezuiya masoko ya nje na wanunuaji wa ndani si wa kuwategemea sana
Hebu piga namba hii kwa ushauri 0685 810 420
Ila bei ya tikiti au nyanya kushuka inategemea na eneo ulipo. Huku mwz naona bado bei ya tikiti uko vizuri sokon kasoro nyanya SBB kuna siku zina hadimika sokon bei inakuwa juu. Sijuhi wenzangu huko mlipoUshauri wa nini?
Kwa nni walime october, sas wote wakaacha kulima wazalishaji wa nyanya wakilima october inakuaje??, kwan sas hvi watu hawatumii mbegu sahihi??, boss wang unajua sababu zilizofanya soko la nyanya kupoteza uhalisia wake??, unajarbu kuzungumza lakin hlo cyo suluhsho bdo kama watu wanategemea kilimo ndio mkomboz wao!!Muelewe vizur msipotoshe wakulima wa kilimo cha nyanya kionekana hakina maana la muhimu ni kufuata kilimo cha kitaalamu na Muda wa kulima sio kufuata maneno ya wanasiasa kwamba ukalime kumbuka utapoteza pesa zako, lima nyanya kuanzia October au atleast September, nunua mbegu bora pia fuata ushauri wa madawa na virutubisho
Na ukilima kwenye greenhouse halafu nyanya itoke kiangazi utakuwa hujafanya research yako vizuriKunawengine walilima nyanya kwenye greenhouse wanakutana na bei kama hii. Yan hata pesa ya kununulia mbegu hairudi.