Hivi ni kumbe mpaka uchezee selector ndio uwashe ? Kwa hiyo kila mwenye gari automatic ni fundi umeme ??? ,,umetumia njia hii kufikisha ujumbe kuwa wewe ni fundi umeme ,tumekuelewa wenye shida watakutafuta ,binafsi gari automatic sina mzuka nayo kabisa
yap mm ni FUNDI UMEME lakini hata gear box za automatic nabomoa sana tuuu
mkuu nina suzuki escudo..inawasha taa ya OD hivyo haimalizi gia!! mafundi wamehangaika bila mafanikio..tatizo linaweza kuwa nini?
Lege wewe ni fundi mzuri tu! wa umeme ila tatizo wewe ni dalali wa mafundi geabox, unamjue yule tuntu bonge mtaalamu wa gearbox pale naniliii... Ulishawahi kupiganae kazi?
weka Neutral....sukuma,ikichanganya weka drive itawakaWakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu za kawaida kabisa ambazo mm kwangu zinajibika na zinakuwa na njia mbadala na bado zinabaki kutozuia kustua Gari ya automatic.
kwanza in nature mm ni mbishi niliyetukuka na ninaongea juu ya hili KWA kuwa nishawahi lifanyia majaribio zaidi ya Mara 5 na kuwala watu Hera kwa kubishana.
nimeamua kulileta kwenu wataalamu tuweze kulidiscus kwa atakaye kubakiana na mm awe na sababu za kukubaliana na mm na atakaye pingana na mm awe na sababu za kupinga kuwa haiwezekani .
maswali ,ushauri na maoni yote ruksa.
ila nimestua KWA njia moja tuu .nikipata Gari ya kuvuta nitajaribu na kuhitimisha kwa kustua kwa njia ya pili mshana jr Chipukizi
Mi ni dereva wa malori jamani, namuunga mkono LEGE kwamba gari auto inaweza kustulika but kwa utundu kidogo,, ila kwa msiojua mtataka gari ikizima usukumwe kidogo kama unasukuma manual istuke, mtasukumwa miaka mia. Pia mbona maelezo yake hapo juu yanaeleweka tu. LEGE mimi nimekuelewa na ninajua kama auto inastulika.
Mkuu nifundishe utundu gani huo nijaribu kwenye kiGlanza changu hapa
mkuu fanya hivi weka D tafuta sehem yenye mteremko bila kuweka switch ON iache gari ishuke kwa speed ikifika speed ya kulidhisha weka switch on nakanyaga mafuta gari itawaka tuu
m nimesoma maelezo na mabishano yooooote halaf nikaona isiwe shida na mm nijarb kwny hii primera hapa maskani, niakatoka nayo mpaka uwanja wa majaribio ili home wasione nnachotaka kufanya; nikaanza na kuizima halaf nikaita watu waisukume, nikaswitch off halaf nikaweka D na kazi ya kusukuma ikaanza ila work done ikawa ni 0 as gari ilisogea kw kuburuzika matairi yani kama gari iliyo kwenye brake....nikaona labda nguvu ya hawa jamaa ni ndogo nikaipeleka kwenye kilima cha approximately 45 degree of elevation, then nikazima mtambo tena halafu nikafata maelekezo tajwa kwenye red....ila mwisho wa siku matokeo yalikuwa kama ya awali as tires zilikuwa locked kutembea......HAPO NDIPO NIKAJILAUMU KWA KUPOTEZA MUDA WNG KUISOMA THREAD YOTE YA HUYU MSANII NIKAJIONA MIMI NI MPUMBAVU KUFANYA JARIBIO LA KIPUMBAVU; however nimepata idea ya kuweka nae mzigo rasmi aje aniwashie hii primera kwa maelekezo tajwa (kwenye red); sasa bwana LEGE hapa kuna 500,000/= nauli nitalipa kama ukifanikiwa pamoja na dau tajwa uje huku Temboni uliwashe hili gari....mrejeshpo utaletwa hapa kwa video ili wote muone
NB: uje na 500,000 kabisa mfukoni coz hakutakuwa na bargain
*kama uko serious kwenye hii bet niPM twende sawa
Jamaa anakulia pesa hyo maana tu anaharibu sensor kwanza

hahahaha mm sio Dalali bana.uzuri GARI za automatic zinajitengeneza hata ww hapo unaweza yengeneza mbona sema mafundi UMEME wengi wavivu sana.wanataka kazi ya kushika tester tuu.
mm ukileta GARI haibadili gear naanzia kwenye UMEME nakagua nikihakikisha IPO poa basi kifuatacho ni kuishusha na kuibomoa.
sema kibaya zaidi gear box za automatic hazinaga spea mpya hivyo ukisema unatengeneza sio uhakika sana 100%.
maana spea unakwenda kutoa kutoka kwenye gearbox nyingine unatoa potelea mbali unaweka afadhali.
mkuu unamzungumzia BONGE yupi??
KIBIKI or?? wewe nambie BONGE WA sehem flani ndio inakuwa rahisi
Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu za kawaida kabisa ambazo mm kwangu zinajibika na zinakuwa na njia mbadala na bado zinabaki kutozuia kustua Gari ya automatic.
kwanza in nature mm ni mbishi niliyetukuka na ninaongea juu ya hili KWA kuwa nishawahi lifanyia majaribio zaidi ya Mara 5 na kuwala watu Hera kwa kubishana.
nimeamua kulileta kwenu wataalamu tuweze kulidiscus kwa atakaye kubakiana na mm awe na sababu za kukubaliana na mm na atakaye pingana na mm awe na sababu za kupinga kuwa haiwezekani .
maswali ,ushauri na maoni yote ruksa.
ila nimestua KWA njia moja tuu .nikipata Gari ya kuvuta nitajaribu na kuhitimisha kwa kustua kwa njia ya pili mshana jr Chipukizi
Mkuu siku moja nilisahau nikazima gari wakati ipo kwenye D, kuja kuwasha tena gari hata kuconduct umeme haistart as if hakuna battery kumbe gia ipo kwenye D hadi alipokuja jamaa mmoja akaniambia hivo. Sasa kwa maelezo yako naona sielewi hiviii
mkuu hizo zingine ni mbwembwe tuu sijui TPS valve control box kwenye kustua Gari hizo ni chachandu kwenye chipsi.
main point yetu kubwa ni kuwa tutawezaje pata mzunguko wa flywheel?? hizo sensor ulizozitaja wewe hata zisipokuwepo Gari lazima itawaka tuu.kikubwa hapa ni crank shaft na camshaft sensor tu zipitiwe na mzunguko ili ziweze toa signal.
kabla hatujafika mbali kama wewe kweli ni mtaalam soon utahamia upande wangu.
ukiwa unaendesha Gari ukaizima na kuiweka OFF huku gear bado ikiwa kwenye D 2 or L nagari ikawa bado inaendelea kutembea engine itasimama au itaendelea kuzunguka??.mtaalam naomba ujibu hilo swali ndipo kwenye msingi na mzizi wakustua Gari hapo.
harafu hayo ya gear sijui huendeshwa na vavle na hydrolic ni mbwembwe tuu sisi tunataka kupata mzunguko wa flywheel tuu ili Gari iweze kuwaka.
converter unapoliingiza kwenye gearbox huwa linaingia Mara 2 ile ya pili ya mwisho huwa ni kwaajili ya pump ya hydrolic hivyo ukizungusha tuu engine pump ya hydrolic nayo inazunguka pia.na kinachofanya Gari iweze kuondoka ukiweka gear ni kitendo cha kuruhusu hydrolic iingie kwenye diaphram na kuoparete clutch za gear husika na Gari inatembea.
mfano chukua Gari iendeshe mpaka ifike speed 80 or 60 harafu izime nauiache itembwe mpaka km I drop na kufika mpaka kwenye 40 or 20 then weka switch on uone kama Gari itawaka au haita waka ikiwaka ndio ujiulize maswali kwanini imewaka?? wakati ni automatic??
lengo LA kuiweka switch on ikiwa katika speed ndogo nikuepuka uharibifu kwenye gearbox maana speed hiyo ya 20 40 ni gear namba 1 or 2 .
MAGARI ambayo tulijaribu nayo wakati tunacheza kamali ya ubishi ni verosa ,gx100 ,Suzuki,Prado ,BMW, RAV 4,hilux D4D.
KWA kuwa MAGARI mnayo kajaribuni mkipata majibu njooni tena tuendeleze maada yetu.
USISEME TUU HAIWEZEKANI KWAJILI UMEAMBIWA HAIWEZEKANI JIULIZE KWA NN HAIWEZEKANI BAADA YA KUAMBIWA HAIWEZEKANI.