Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
Hela hiyo washtaki fasta!Habari wanaJF?
Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano.
Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba zao zinazotumika kutuma sms wengine wanajibu tutakuondoa wengine wananyamaza kimya.
Je! Kuna namna yoyote ya kuwashtaki hizi kampuni za mikopo kwa usumbufu wa sms zao za mara kwa mara na kuwadai fidia?
Nimechoka na hizi sms zao yaani
Unawashtaki kwa vifungu gani vya sheria?Habari wanaJF?
Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano.
Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba zao zinazotumika kutuma sms wengine wanajibu tutakuondoa wengine wananyamaza kimya.
Je! Kuna namna yoyote ya kuwashtaki hizi kampuni za mikopo kwa usumbufu wa sms zao za mara kwa mara na kuwadai fidia?
Nimechoka na hizi sms zao yaani
Ndio maana nimeuliza kwa sababu sijawahi kuingia nao mkataba wa wao kunitumia sms na kunisumbuaUnawashtaki kwa vifungu gani vya sheria?
Hata mimi huwa nawaza,hawawezi tumia line niliyonunua,simu niliyonunua nikiichaji kwa umeme ninaonunua na kufanyia matangazo ya ofisi zao bila makubaliano na mimi huku wakipata faida,mkuu tafuta wakili mzuri hapo utapiga hela utakuja nikumbukaHabari wanaJF?
Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano.
Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba zao zinazotumika kutuma sms wengine wanajibu tutakuondoa wengine wananyamaza kimya.
Je! Kuna namna yoyote ya kuwashtaki hizi kampuni za mikopo kwa usumbufu wa sms zao za mara kwa mara na kuwadai fidia?
Nimechoka na hizi sms zao yaani
Nadhani namba wamechukua Utumishi kwa sababu sijawahi kuwa na uhusiano wowote na mikopoWamepataje namba yako?
Bila shaka ushawah kukopa au kujaribu kukopa kwao.
Hivyo namba yako iko kwa database yao.
Wanajaribu kukushtua labda unahitaj mkopo mwingne.
Hata nikiblock wakituma sms zinakujaWa block tu. Njia ya kisheria inaweza kuwa refu na gharama. Kisheria nadhani wanatakiwa kukuondoa ikiwa hutaki kupokea matangazo yao na hii iwe kwa njia rahisi na fupi kama kubonyeza unscribe kwenye mitabdai.