Timu ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitoka sare na timu ya Comoros baada ya kuifunga timu hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros. Lakini mechi ya marudiano hapa hapa nyumbani timu hizo zilitoka sare.
Na hii ni baada ya kiongozi wao moja unfashionable kutoka ndani (polisi) kwa masuala Yake binfsi/ yakibiashara.
Baada ya hapo kulifuatiwa na mechi na watani wao wa jadi Simba Sports Club tarehe 25/02/2017 ambayo Yanga walipata goal la mapemana kuweza kuutawala mpira kwa muda mrefu bila kuwa na nia ya kufunga magoli zaidi.
Na hata pale mchezaji wa Simba alipotolewa nje kwa jadi nyekundu na Simba wakiwa nyumba kwa goal moja, bado uchezaji wa tiimu ya Yanga haukuwa na nia ya dhati ya kushinda pambano hilo. Hii inajidhihirisha na uchezaji wao wa kukaribisha mashambulizi golini kwao ambao ulisababisha goal la kusawazisha na goal la ushindi.