Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Nahisi kama Ikitokea wabunge walio wengi bungeni ambao ni ma mbumbumbu baadhi yao lakin si wote kushindwa kujua wajibu wao kwa serikali ,nahisi kwa hisisa zangu lakini ndio kitakuwa chanzo cha matumizi ya fedha za serikali kuwa mabaya zaid na yasiyo na mpangilio maalum na yasiyo fuata utaratibu wa budget iliyo pitishwa na bunge zaid ya ilivyo hivi sasa hadi 2026 ,,nahisi bunge hili ndio lingetoa uelekeo wa kama inaweza kuisimamia serikali katika matumizi ya fedha za umma ama laa!kinyume na hapo,ALUTA CONTIUA hisia zangu lakin.
NB : naomba kwa wenye akili timamu kabisa vichwani mwao wanielewe kwa nini nasema wabunge wa CCM , na ni kwa nia njema tu.
NB : naomba kwa wenye akili timamu kabisa vichwani mwao wanielewe kwa nini nasema wabunge wa CCM , na ni kwa nia njema tu.