Kushika simu ya mwenza wako

ms emmaa

Senior Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
119
Reaction score
207
Hivi Nyie wanaume Kwanini mnapenda kushika simu zetu lkn zenu ni mwiko yaan hamtaki kabsa mnakuwa na shida gani?

Na je ni sahihi kupekuana simu mkiwa kwenye mahusiano?
 
Hivi Nyie wanaume Kwanini mnapenda kushika simu zetu lkn zenu ni mwiko yaan hamtaki kabsa mnakuwa na shida gani?

Na je ni sahihi kupekuana simu mkiwa kwenye mahusiano?
Mimi sijawahi shika msimu ya wife wala michepuko yangu..huo mda sina
 
Hili somo naona limekua gumu mpaka watu wanauana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…