Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
ni kampuni gani au blog gani ambayo inalipa kwa mpesa, tigopesa au airtel money endapo utashare habari zao kwenye akaunti yako facebook au kwenye blog yako?. nimeuliza maana nasikia makampuni mengi yanalipa kwa paypal na wengine paypal ni mashikolo mageni kwetu.