Kushare files, windows phone to pc

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357

​
Nina simu NOKIA LUMIA 630, inanipa shida sana nikitaka kuhamisha picha au document yoyote toka simu kwenda PC au PC kwenda phone. Naomba kunisaidia niweze kutumia hii simu vizuri, pia network yake hii simu ni majanga. Napata E, H na H+, ila haitulii, nataka nipate G, H au H+.
 
kaka simu yako ina mass storage ukiconect na usb basi mafile yako yote yanaonekana kwa pc.

kama una memory card picha zinakaa kwenye folder la pictures na kuna subfolder kama camera roll(picha ulizopiga), saved picture na hata za whatsap zipo humo.

pia simu za wp zinakuja na onedrive ambayo unaweza iset automatic ikawa inazieka picha zako onedrive then download onedrive kwa pc picha zako zitakuwepo kwenye pc kwenye folder la onedrive. ila njia hii inahitaji internet

kaka hizo network ulizozitaji zinarank hivi kwenye speed

G-speed ndogo kabisa
E-speed ndogo
H-speed kubwa
H+ speed kubwa kabisa

hivyo usiombee upate G

kama eneo ulipo signal za H na H+ ni ndogo ukiona imekuja E itumie bila kuishika na mkono, unaweza ieka kitandani/mezani/juu ya kochi ukawa unaitumia kwa kugusa tu.
 
Ahsante, onedrive ipo nitaifanyia kazi. Bila kutumia onedrive naweza kufanyaje kwasababu hiyo onedrive inahitaji inernet, na pia kuitumia kama modem nitafanyaje maana haionekani kwenye local disks ila wi-fi ipo kama kawaida.
 
Ahsante, onedrive ipo nitaifanyia kazi. Bila kutumia onedrive naweza kufanyaje kwasababu hiyo onedrive inahitaji inernet, na pia kuitumia kama modem nitafanyaje maana haionekani kwenye local disks ila wi-fi ipo kama kawaida.

nenda setting halafu internet sharing kama unataka kutumia simu kama modem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…