Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Wadau,naomba mnijuze jinsi ya kusevu majina(contacts)ya simu ili hata kama laini ikipotea iwe rahisi kudownload contacts kwa urahisi.Asante.
Kama unatumia smart phone ni rahisi.ikiwa ni Android unasave kwenye gmail adress na ikiwa iphone unasave katika iCloud..Wadau,naomba mnijuze jinsi ya kusevu majina(contacts)ya simu ili hata kama laini ikipotea iwe rahisi kudownload contacts kwa urahisi.Asante.
Kama unatumia smart phone ni rahisi.ikiwa ni Android unasave kwenye gmail adress na ikiwa iphone unasave katika iCloud..
Alternatively zote unaweza kuzisynchronise na pc kwenye outlook..
ukipoteza unazirejesha zote

Mkuu,umeniacha mbali sana kwani sielewi maana ya smart phone wala android.Kama ni TECNO T611S unafanyaje?