Kusema kweli tusije tukaombea hali kama hii itokee kwa CCM, Chadema hata panya hatabaki salama!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
  • Fikiria siku mbili kabla ya uchaguzi wa madiwani Arusha Lema akiinadi Chadema anapanda jukwaani na kutoa kauli kama aliyoitoa Lameck Mwigulu!
  • Fikiria katika mkutano wa CCM wa kufunga kampeni, mara bomu hilo linalipuka na wananchi kadhaa wanapoteza maisha na wengine kujeruhiwa!
Je mwanaJF toa maoni...unadhani hali ingekuwaje?
 
Time ikifika watajua....kwani ghaddafi ai walikuwa nae akiwaliberali...sasa yupo wapi?
 
Uzuri ni kwamba zama hizi zina Kitabu, na tayari kitabu hicho kimenukuu precedence hiyo, na itatumika na vizazi.

Lema angetamka maneno hayo, na kisha yakatokea, wenzetu wa upande wa pili wangeahirisha shughuli za Bunge kwa siku mbili ili kuitaarifu dunia kadhia hiyo.
Msajili angeshinikizwa aipige X cdm.
 
Sasa unataka maoni na mtazamo gani wakati hitimisho ulishalitoa kwenye heading ya thread.

Unataka watoa maoni na ushauri wawe WANAFIKI kama maelezo yako yanavyobainisha?.

Badala ya kuja hapa na unafiki uliyo ndani ya thread kwa nini usimwambie Lema akafanya hiki unachokinafikisha hapa halafu ukapata jibu mbadala badala ya hitimisho la kinafiki.

Huoni kama unaonekana ziko chini kwa kuanza kuandikia mate wakati wino wa bure upo.
 
Mkuu unasema....!!!?? "HATA PANYA HATABAKI"...!!!? Dah! Umenikumbusha mbali mkuu!!

Ni kweli na hatuombei yatokee upande wa pili maana watakaopoteza maisha ni ndugu zetu wasio na hatia. ILA YAKITOKEA UPANDE WAPILI WAKPOTEA VIONGOZI HATA KUMI NITAKUWA WA KWANZA KUPIGA MAGOTI KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU!!!
 
Sasa unataka maoni na mtazamo gani wakati hitimisho ulishalitoa kwenye heading ya thread.

Unataka watoa maoni na ushauri wawe WANAFIKI kama maelezo yako yanavyobainisha?.

Badala ya kuja hapa na unafiki uliyo ndani ya thread kwa nini usimwambie Lema akafanya hiki unachokinafikisha hapa halafu ukapata jibu mbadala badala ya hitimisho la kinafiki.

Huoni kama unaonekana ziko chini kwa kuanza kuandikia mate wakati wino wa bure upo.
Tunawajua tu na Povu lenu, utadhani mmemeza OMO!
 
Sasa unataka maoni na mtazamo gani wakati hitimisho ulishalitoa kwenye heading ya thread.

Unataka watoa maoni na ushauri wawe WANAFIKI kama maelezo yako yanavyobainisha?.

Badala ya kuja hapa na unafiki uliyo ndani ya thread kwa nini usimwambie Lema akafanya hiki unachokinafikisha hapa halafu ukapata jibu mbadala badala ya hitimisho la kinafiki.

Huoni kama unaonekana ziko chini kwa kuanza kuandikia mate wakati wino wa bure upo.

Huu ni mdomo wa bhangi kabisa
 
Back
Top Bottom