mkalachaka
Member
- Jan 17, 2007
- 12
- 0
Wana jamii, baada ya kuisoma Rasimu ya Pili ya Katiba na Katiba iliyopendekezwa na BMK na baada ya mmoja wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutoa changamoto ya kwa nini tupige kura ya Hapana kuikataa Katiba inayopendekezwa na BMK, nimeona niwashirikishe wanajamii wote msome jinsi ambavyo wawakilishi wetu katika BMK wasivyojali maadili ya umma.
Jisomee mwenyewe kiambatisho kifuatacho ujionee na uamue wakati ukifika upige kura unayoona inafaa ili tupate katiba itakayolinda maslahi ya Taifa letu.
Jisomee mwenyewe kiambatisho kifuatacho ujionee na uamue wakati ukifika upige kura unayoona inafaa ili tupate katiba itakayolinda maslahi ya Taifa letu.