Kusema hapana haiwezekani?

Joined
May 16, 2021
Posts
14
Reaction score
16
Nini kinafanya watu (business owners) washindwe kujibu NO hasa ukiwa unaomba kazi
Ni kwamba ni wanaepusha disappointments kwa waombaji?
Matakwa ya kazi yanamuambia asijibu email zote?
Au ku test patient ya muombaji kama anaweza kuvumilia?
Au wanapenda kusumbuliwa na waombaji kwamba mbona hamjajibu ili waonekane busy.

Nini tushauri hawa Business owners kuhusu namna ya kurudisha majibu kwa waombaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…