mi sio mpenzi sana wa huko ila naipenda lugha kitaa sana.chukua hi dude ukwatemee pwaaaaa...MALONYALONYA ni nguo za kusagula mitumbani lkn zilipigwa marufuku akini bado zipo sana, TZ RAHA SANA NAJIVUNIA KUWA MTZ na kiswahili lugha yangu na ninaipenda mingi mingi