Kusamehe

Juzi kuna rafiki yangu amenitumia ujumbe

Weak people revenge
Strong people forgive
Intelligent people ignore...

Nimegundua these days nime change toka kuwa strong na kuwa intelligent....NAPUUZA tu
 
Juzi kuna rafiki yangu amenitumia ujumbe

Weak people revenge
Strong people forgive
Intelligent people ignore...

Nimegundua these days nime change toka kuwa strong na kuwa intelligent....NAPUUZA tu


Unajua kuna mtu aliwahi niambia busara ni kwa wazee na hasira ni kwa vijana
ukiona kijana ana busara sana ujue nae ana matatizo...
sababu hasira ndo ujana wenyewe.....so ukiona unazidi kuwa na busara sana maybe age inahusika...
 
Kuuliza jero kuelekeza buku
Wife wakati wa shida...
Mi hata sijui maana ya 'hilwa'...kihaya changu ni very poor...niulize kizaramo,


Labda ata si kihaya hiki
siku hizi vijana wanaingiza swaggs kwenye lugha za kikabila pia...
kizaramo nacho kimegawanyika..kuna cha bagamoyo ,cha chalinze na cha maneromango na kisarawe huko
 
Kusamehe sio simple kama liandikwavyo na kutamkwa maana kuna mambo rahisi kusamehe ila kuna magumu kupitiliza litaka kwenye moyo hata 10yrs
 
Kusamehe sio simple kama liandikwavyo na kutamkwa maana kuna mambo rahisi kusamehe ila kuna magumu kupitiliza litaka kwenye moyo hata 10yrs sio mchezo.
 
Binadamu hua hatusahau milele....ila tunapuuzia makosa for a while...ila kusahau...it will never happen!
 
Juzi kuna rafiki yangu amenitumia ujumbe

Weak people revenge
Strong people forgive
Intelligent people ignore...

Nimegundua these days nime change toka kuwa strong na kuwa intelligent....NAPUUZA tu
Ukiona hivyo ujue bado hujaingia kwenye 18 za mjinga mmoja acha kabisa kuna watu wanajua kuudhi hasa!
 
Forgive your offender and you will become a conqueror.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…