Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 16,225 Reaction score 51,621 Saturday at 4:07 AM #1 nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya. mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa. I'm out #Kisasi ni haki.
nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya. mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa. I'm out #Kisasi ni haki.
Mdigokhan JF-Expert Member Joined May 2, 2022 Posts 992 Reaction score 2,327 Saturday at 4:38 AM #2 Utakuwa Huna kazi za kufanya kama Kila baya unataka kulipiza na unaichungulia jela au kifo..