ni sawa kabisa alivyosema Mgombea wetu. wadaiwa wa heslb watasamehewa madeni ili wafanye kazi kwa amani waweze kulipa kodi ya serikali na kuanza kujenga maisha yao. Ni bahati kwamba msamaha utawakumba hata akina zitto sasa unachopaswa kusema ni kuwashauri akina zitto na ridhiwani wao walipe deni hilo kwa kupeleka fedha hizo kwa jamii kama kununua madawati na vifaa tiba
ukisikia ubepari ndo huu, kumsamehe deni aliyenacho na kumkamua masikini, yaani tumsamehe zitto anaezunguka na mgombea na msururu wa wapambe, ila mamalishe akamuliwe rejesho! Bora tubaki na ccm.
mkuu watanzania ni wapumbavu pamoja na lowasa wao pamoja na kusistiza elimu kumbe hajitambui yeye mwenyewe , nadhani bodi ya mkupo ingeboreshwa zaidi kuwa taasis inayojitegemea ili kuendelea kutoa huduma ya uhakika kwa
vijukuu , na wajukuu wetu
kwa kuhakikisha madeni yanalipwa kumbe wadaiwa watasamehewa hii ni aibu kwa mgombea uraisi
Watu wamesamehewa mabilioni ya escrow we unazungumzia vimilioni vya mboga, ahsante lowasa kura ni kwako
ujinga nao ni kipaji, wenzenu wanachonga dili nyie mnakenua meno, unajua hela ngapi ilishapigwa?
Ni uongo mtupu, ni kitu kisichowezekana. me hapa tu nadaiwa ml 7.8 sa sijui wengine then kwa tz nzima duuh! nchi itafilisika
Lowasa alivyokuwa siha alisema wadaiwa wa heslb watasamehewa madeni yao.
Wadaiwa wa heslb ni watu waliosoma chuo kikuu kwa mkopo wa serikali na huanza kulipa baada ya kuhitimu kupata ajira na kuwa na kipato cha uhakika kwa maana ya ajira ya kudumu.
Unaposema watasamehewa najiuliza mtu kama mhandisi daktari meneja wa benki mbunge kama nasari zitto riz1 nao wakumbwe na msamaha huo napata mashaka sana.
Kwanini wasilipe na fedha hizo zikaelekezwa kwenye kuboresha elimu mfano ujenzi miundombinu ya kufundishia? Mabweni ya kisasa na hata kujenga vyuo vipya.
Je, kama watasamehewa hawa watu wenye ajira na vipato vya uhakika kwani wapo wanaolipwa hadi mil kumi kwa mwezi halafu tukimbizane na mamalishe waliokopa nmb dcb na saccos itakuwa sahihi kweli?
Kwanini tusifute madeni yote tuanze moja kama ndo hivyo?
Lowasa alivyokuwa siha alisema wadaiwa wa heslb watasamehewa madeni yao.
Wadaiwa wa heslb ni watu waliosoma chuo kikuu kwa mkopo wa serikali na huanza kulipa baada ya kuhitimu kupata ajira na kuwa na kipato cha uhakika kwa maana ya ajira ya kudumu.
Unaposema watasamehewa najiuliza mtu kama mhandisi daktari meneja wa benki mbunge kama nasari zitto riz1 nao wakumbwe na msamaha huo napata mashaka sana.
Kwanini wasilipe na fedha hizo zikaelekezwa kwenye kuboresha elimu mfano ujenzi miundombinu ya kufundishia? Mabweni ya kisasa na hata kujenga vyuo vipya.
Je, kama watasamehewa hawa watu wenye ajira na vipato vya uhakika kwani wapo wanaolipwa hadi mil kumi kwa mwezi halafu tukimbizane na mamalishe waliokopa nmb dcb na saccos itakuwa sahihi kweli?
Kwanini tusifute madeni yote tuanze moja kama ndo hivyo?
ujinga nao ni kipaji, wenzenu wanachonga dili nyie mnakenua meno, unajua hela ngapi ilishapigwa?
Wivu ni kitu kibaya sana. Lowassa amesema Elimu itakuwa bora na bure, na wote waliokopeshwa watasamehewa madeni yao, sasa wewe unachukia nini?
Lowassa amesema ataunda serikali rafiki na maskini, akimaanisha maskini wata enjoy sana. Sasa wewe kinakuuma mini?