Mzinifu mara moja ni mzinifu milele.
Sasa wewe samehe halafu endelea naye mpaka siku atakapokuletea gonjwa la zinaa lisilo na tiba ndo utatia akili.
kwa wife sawa naweza kusamehe..ila mchumba,sijui gf haina mjadala hiyo wala kujiuliza mara mbili..
ahsante kwa kuniambia kitu ninachokijuaHata wife wako alikuwa girlfriend wa mwingine, pengine alitimuliwa ndio ukaja kukutana naye.
Kwa nini usisamehe mchumba? Nafikiri bora usamehe. Si unajua zimwi likujualo...kwa wife sawa naweza kusamehe..ila mchumba,sijui gf haina mjadala hiyo wala kujiuliza mara mbili..
Binafsi nilisha samehewa. Na ukweli nilibadilika baada ya kusamehewa. Fikra zangu ni kwamba mtu akisamehewa anajirekebisha especially kama kuchepuka kwake ilikuwa ni kwa kujaribu tu. Ila kama kuchepuka kwake ni kutokana na upungufu fulani kwenye uhusiano wenu basi pengine ni vyema kuzungumza na kurekebisha upungufu huo kama una rekebishika. Kama upungufu uliosababisha achepuki haurekibishiki basi ni vyema kumwaga manyanga.Mzinifu mara moja ni mzinifu milele.
Sasa wewe samehe halafu endelea naye mpaka siku atakapokuletea gonjwa la zinaa lisilo na tiba ndo utatia akili.