katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
- Thread starter
- #21
Ni kweli ndio maana nikatoa aina ya wanaumeTabia ni tabia tu mnaweza kesha na kurudhishana na kusema nimeshiba lakini akitoka hapo tayari tamaa na huwa ni tamaa, kuna msemo mtu aliye zoea rushwa hata umpe mshahara kiasi gani kama kazoea kuhongwa ataomba hata mia 5 ya vocha, nikuomba Mungu tu usipate pressure