Kusalitiwa na kufumania

Kusalitiwa na kufumania

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,756
Ukipata mtu wa kuoa au kuolewa naye unakuwa na raha sana .
Pale ikiwa hujawahi kumfahamu tabia yake.
Pale kuja kumfahamu ni mpaka uanze kumfuatilia.
Kwanini asilimia za wanaume ndio wanafumwa nakuwasaliti wake zao au wapenzi wao.
1. Tabia ya mtu
Unakuta mwanaume anaridhishwa mpaka unakuwa hakuna cha kumpa ila unamfuma na mtu hapo huna choice unamuacha au unazoea hali yake kuna watu wako hivyo upo naye mdada akipita anamuangalia.
2.Umbo lake sahihi
Unakuta mwanaume kakupenda ila wewe sio type yake yeye alipenda unavyomjali sio kwa pesa ila tu tabia na mambi kadhaa kwa hiyo akipit type yake wewe anaangalia na lazima atafute jinsi yakumpata hata ufanyaje?
3.Mwanaume haridhiki.
Kuna kitu kinaitwa kuridhika mf. Chakula mtu akiwa kazini anakula tu ila hali chakula kimpangilio ila akija nyumbani ndio anakula kimpangilio mlo kamili.
So ndio hata mwanaume unakuta humpi mlo kamili unampa chakula tu sio chakula kamili .
Mapenzii huwa yanaandaliwa apewe mtu.
Kama chakula unamsoma mtu unampa kitu anachopenda.
Sas wenzio wanatoa kile ambacho humpi sio jicho hapana kile ambacho unatoa.
4. Kujisahau
Ukishaolewa au unamatarajio kasi unaipunguza so hapo unakuwa umepikuliwa .
So jipangee.
Mpenzi ndio kila kitu mpaka ufe wewe unajituma tu.
Sio unakuwa mvivu.
Sio kila saa but ukimpa atakumbukia akiwa na mchepuko anakumbukia anarudi home.
KWA WANAUME
Wanaume wanaosalitiwa na wanawake zao hawajui mambo ni malimbukeni tu .
Wao kumvua mtu pichu nakuweka linyoka lake basi hajui kuwa mhusika karidhika au .
Mwanamke nikuandaliwa sio kuliwa tu kama mchele.
Unajua unampa mambo mpaka ukimwacha kwa siku moja lazima akuulizie sio unafanya papara tu nakukimbilia ambapo sipo.
Sio nice.
Kweli.
Kibamia sio tija kubwa ila je unaweza mamboo.
Mapenzi ni ubunifu best sio tu kushangaa shangaa tu.
 
Huu ni ushauri tu hutaki acha boss hujalazimishwa kukoment upumbavuu usio na msingi.
 
Tabia ni tabia tu mnaweza kesha na kurudhishana na kusema nimeshiba lakini akitoka hapo tayari tamaa na huwa ni tamaa, kuna msemo mtu aliye zoea rushwa hata umpe mshahara kiasi gani kama kazoea kuhongwa ataomba hata mia 5 ya vocha, nikuomba Mungu tu usipate pressure
 
Pole sana...

Embu tulia kwanza, vuta pumzi alafu, elezea vizuri sasa...

Hueleweki hapa unayemuweka sawa ni mwanamke au mwanaume?

Cc: mahondaw
 
Naona umewalenga vibamia, sema tu umeamua kuzunguka. Ila kwenye namba 3 umenichekesha sana
 
Ukipata mtu wa kuoa au kuolewa naye unakuwa na raha sana .
Pale ikiwa hujawahi kumfahamu tabia yake.
Pale kuja kumfahamu ni mpaka uanze kumfuatilia.
Kwanini asilimia za wanaume ndio wanafumwa nakuwasaliti wake zao au wapenzi wao.
1. Tabia ya mtu
Unakuta mwanaume anaridhishwa mpaka unakuwa hakuna cha kumpa ila unamfuma na mtu hapo huna choice unamuacha au unazoea hali yake kuna watu wako hivyo upo naye mdada akipita anamuangalia.
2.Umbo lake sahihi
Unakuta mwanaume kakupenda ila wewe sio type yake yeye alipenda unavyomjali sio kwa pesa ila tu tabia na mambi kadhaa kwa hiyo akipit type yake wewe anaangalia na lazima atafute jinsi yakumpata hata ufanyaje?
3.Mwanaume haridhiki.
Kuna kitu kinaitwa kuridhika mf. Chakula mtu akiwa kazini anakula tu ila hali chakula kimpangilio ila akija nyumbani ndio anakula kimpangilio mlo kamili.
So ndio hata mwanaume unakuta humpi mlo kamili unampa chakula tu sio chakula kamili .
Mapenzii huwa yanaandaliwa apewe mtu.
Kama chakula unamsoma mtu unampa kitu anachopenda.
Sas wenzio wanatoa kile ambacho humpi siojicho hapana kile ambacho unatoa.
4. Kujisahau
Ukishaolewa au unamatarajio kasi unaipunguza so hapo unakuwa umepikuliwa .
So jipangee.
Mpenzi ndio kila kitu mpaka ufe wewe unajituma tu.
Sio unakuwa mvivu.
Sio kila saa but ukimpa atakumbukia akiwa na mchepuko anakumbukia anarudi home.
Wanaume wanaosalitiwa na wanawake zao hawajui mambo ni malimbukeni tu .
Wao kumvua mtu pichu nakuweka linyoka lake basi hajui kuwa mhusika karidhika au .
Mwanamke nikuandaliwa sio kuliwa tu kama mchele.
Unajua unampa mambo mpaka ukimwacha kwa siku moja lazima akuulizie sio unafanya papara tu nakukimbilia ambapo sipo.
Sio nice.
Kweli.
Kibamia sio tija kubwa ila je unaweza mamboo.
Mapenzi ni ubunifu best sio tu kushangaa shangaa tu
ile bank ya wanaume wanokuto...mba vizuri umerejesha au ba.ba...ko anakukuna vizuri siku hizi
 
content yko haijaelweka inalenga nini !?
 
wamesha kutia mi..mba hako ndo katoto kako...au bado?
 
Back
Top Bottom