yeah ni kweli mpwa ila usisali sala ndeeefu kuanza kumsimulia MUNGU matatizo yako, mshkuru, furahi, tubu na kisha omba lile ulionalo kwa kibinadamu kuwa ni hitaji kwa wakati huo ila uisjifunge kwa maombi yako wala usimlazimishe afanye kitu katika muda huo, mshukuru kisa mwachie room nayeye afanye lile apendalo kwako. AMEN