kusali kabla ya TENDO LA NDOA

kusali kabla ya TENDO LA NDOA

Danyel mweusi

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
81
Reaction score
19
vitabu vya dini vya kiislamu na kikristo swala, vinashauri kubariki kwa sala tendo la ndoa kabla ya kulifanya..
Wana jf hili swala mnalichukuliaje practical
 
Na vile vya haraka haraka kwenye gari je au ofisini? Na mnakuwa mnabariki nini hasa mkuu, kuongeza utamu, msikutwe au nini hasa? Si bora kushukuru baada ya tendo.
 
baada ya tendo mara nyingi sio rahisi kukumbuka kama ilivyo mwanzo ni sawa na kusali baada ya kula
 
Na vile vya haraka haraka kwenye gari je au ofisini? Na mnakuwa mnabariki nini hasa mkuu, kuongeza utamu, msikutwe au nini hasa? Si bora kushukuru baada ya tendo.

kwa mke na mume ni vile mungu akibariki na kukilinda kile atachowajaalia.
 
je tukiangalia upande wa pili kwa ambao hawajao ili tendo halistahili kuombea kwani

Kwa ambao hawajaoa itabidi tubadili heading na kuwa ngono badala ya tendo la ndoa maana tendo la ndoa ni kwa waliooa tu. By the way, kwa wasiooa ni sawa mtu aombe wakati wa chakula na kuviombea vinywaji vyote including pombe, hivyo huo ni uzinzi hivyo no need ya kuswali kwa kuwa kifanywacho ni dhambi vitabu vya dini vimezuia hivyo itakuwa ni sawa na kuzima moto kwa petrol
 
hapo nimekusoma sana mkuu, cha msingi kuacha kuomba kaba ya uzinzi
 
nakumbuka dada gfsonwin alishawahi kusema kitu hiki pia
 
Last edited by a moderator:
vitabu vya dini vya kiislamu na kikristo swala, vinashauri kubariki kwa sala tendo la ndoa kabla ya kulifanya..
Wana jf hili swala mnalichukuliaje practical

mke na mume wa ndoa huwa wanastarehe na ni kitendo halali.na kilicho barikiwa so dont wory fanya oga sali...au fanya kula daku oga funga saum
lakini sio kwa kimada hapo utakua unatusi na ni dhambi na ni dhihaka
 
hhahahhaha maelezo mazuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom