Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia?
Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado unasaidia wala hukomi?
Mungu anifanyie Tu wepesi mwenzenu niombeeni jamani

Ukitenda huku unatarajia kulipwa utaumia sana ndg fanya kisha hesabu umepoteza imeisha. Japo kuna stuation huwa inakuja unapopitia magumu ya aina hiyo asee

Sio kwamba unatoa ili baadae usaidiwe ila inatokea nawe umekwama na unajua katı ya wale niliowasaidia kuna fulani au wote wanaweza kunisaidia kutatua shida yangu kama si yote ila kwa kiasi fulani.