1. Kupiga bomba.... Kuna kibomba unaingizwa huko nyuma kunawekwa maji ya vugu vugu kwenye chupa yanasafirishwa kupitia hicho kibomba hadi tumboni, baada ya muda tumbo linavurugika kibomba unakitoa, uchafu woooooooote unatoka, usiache kunywa Maji.
2. Kuna vimbegu wanauza maduka ya dawa ya asili, wanasema kimoja tu utaharisha ndio uchafu unatoka wooote, usiache kunywa Maji.
3. Kula Mapapai kwa siku badala ya chakula, utatoa uchafu woteeee, usiache kunywa Maji.
4. Mbegu za Mlonge japo hizi sio kila Mtu ana harisha unaweza ukatapika pia, usiache kunywa Maji.