Kusafisha meno/kinywa

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Kwa wanaojua kunafaida gani kusafisha meno hospitalini? Kwa wenye uzoefu wa kitabibu na wale waliowahi kusafishwa nipeni ili nipate faida au hasara zake.
 
Nadhani unaondoa scales zinazoganda kwenye meno baada ya kutumia meno muda mrefu by just brushing!
 
sio scale ni calculus-process ya kutoa calculus ndio scalling-kama una dalili hiz mwone dk wa kinywa na meno kwa posibility ya scalling-
-fiz kutoa damu
-meno kutikisika
-harufu kinywan
-maumivu ya fiz
 
Asante kwa elimu. Nadhani hiyo ni technical term. Layman tunata scales! anyway. Asante sana kwa kutuelimisha.
 
Unashauriwa ufanye atleast once year but prefarably 2x. Sipendi harufu ya damu baada ya kusafisha.
 
Kwa wanaojua kunafaida gani kusafisha meno hospitalini? Kwa wenye uzoefu wa kitabibu na wale waliowahi kusafishwa nipeni ili nipate faida au hasara zake.

Nimeharibu meno yangu kwa kufanya hilo zoezi!!.. najuta kwa kweli nilikua na meno imara sana nikaja kufanya hiyo sijui scaling meno yangu yakawa weak kabisa.. i think kwa Tanzania hawa me dentists wetu wanachojua kufanya ni kung'oa tu huko kwinginine sijui root canal sijui scaling wanalazimishia tu.. nakushauri usijaribu hiyo kitu bora ujitahidi kuyatunza kwa dawa nzuri tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom