Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 724
- 560
Helow wadau, naomba msaada wa kimawazo.. Technically
Leather sofa yang ya ngoz rangi ya cream imechafuka wino kdgo,..... Ninahitaji kufuta je ni solution gan inafaa kuondoa!? Nilinunua solution ya Tuff Stuff foam lakin haijafnikisha kuondoa....... Maji na sabun yenyewe hajafua dafu..!!!