Kusafisha leather sofa

Kusafisha leather sofa

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
560
Helow wadau, naomba msaada wa kimawazo.. Technically


Leather sofa yang ya ngoz rangi ya cream imechafuka wino kdgo,..... Ninahitaji kufuta je ni solution gan inafaa kuondoa!? Nilinunua solution ya Tuff Stuff foam lakin haijafnikisha kuondoa....... Maji na sabun yenyewe hajafua dafu..!!!
1541850693876.jpeg
 
Kuutoa mbona hata dk 1 haiishi ngoja nikuelekeze tu bure ufanye. Ila kabla ya kukupa suluhisho nina swali kidogo. Je uliondoka kwa bibi yako akiyekulea ukiwa na miaka mingapi?
Hahahaaaaaaaaa, we nduguu kbkoo..... Acha izo bhanaaa we nipe mbinu...


KUNASEHEMU KUBWA ZAIDI MBILI ZIMECHAFUKA WINO AISEEE
 
NAOMBA TU FOCUS KWENYE SOLUTION YA SHIDA YANGU NDUGU ZANGU.........
 
Mafuta ya taa
mwagia kisha pitisha sponji/brush.
 
Helow wadau, naomba msaada wa kimawazo.. Technically


Leather sofa yang ya ngoz rangi ya cream imechafuka wino kdgo,..... Ninahitaji kufuta je ni solution gan inafaa kuondoa!? Nilinunua solution ya Tuff Stuff foam lakin haijafnikisha kuondoa....... Maji na sabun yenyewe hajafua dafu..!!! View attachment 928791
Sipati picha mwanao siku akikojoa hapo kwenye hilo kochi na kumwagia mchuzi...... Itakuwaje.
 
Back
Top Bottom