Mimi ni msomali...nataka nije nikae kwako😂 ila wasomali wanapenda kuhama na kusafiri hawapendi kaa sehemu moj ukiona wamekaa sehemu sana ujue kuna pesa wanapata
Dini gani hao wasomali?😂 ila wasomali wanapenda kuhama na kusafiri hawapendi kaa sehemu moj ukiona wamekaa sehemu sana ujue kuna pesa wanapata
Piga *102#Mimi ni msomali...nataka nije nikae kwako
Wengi huwa wasabato au walokoleDini gani hao wasomali?
Sasa mimi kwa jeuri nampigia *150*00#Piga *102#
Mimi ni msomali...nataka nije nikae kwako
Pesa ntapata?Njoo
We mwache acheze sharubu za Simba jike mwenye mtoto,atakipata cha mtema kuni.Ukikamatwa kesi yake ni mbaya mno. Usithubutu!
Bwana mdogo kama una wazazi na pia una ndugu wanaokupenda acha mara moja utawaumiza ukijiingiza huko.Habari zenu wakuu.
Kuna jambo leo naomba kuskia kutoka kwenu, hasa wenye uzoefu na usafirishaji watu nchi moja kwenda nyengine.
Kuna kijiwe huwa nashinda mida ya jioni kupoteza muda baada ya mihangaiko ya siku, sasa kuna mabrother flani deal zao huwa ni kuwavusha wasomali kutoka tanzania kwenda zambia kama mjuavyo hapa mpakani tunduma na zambia tupo free tu kuingia nchi nyngne na kutoka pamoja na biashara bila bughudha yoyote
Sasa swali kubwa ni hili ,je wasomali hawaruhusiwi kuhama nchi au kutembelea nchi nyingine? maana hawa watu inasemekana wanasafirishwa kwa gharama kubwa kitu kinachoashiria pesa ya document haiwashindi na hata ukiwafumania ukapiga mkwara kukuachia laki kadhaa ni kawaida, sasa ni kipi hasa kinafanya wawe wanasafiri kimagendo?
Karibuni kwa mchango wenu
Aisee we kademu kidogo nikutongoze. Kumbe ni wewe. Kwanini ulibadili ID lakini?😂 ila wasomali wanapenda kuhama na kusafiri hawapendi kaa sehemu moj ukiona wamekaa sehemu sana ujue kuna pesa wanapata
Habari zenu wakuu.
Kuna jambo leo naomba kuskia kutoka kwenu, hasa wenye uzoefu na usafirishaji watu nchi moja kwenda nyengine.
Kuna kijiwe huwa nashinda mida ya jioni kupoteza muda baada ya mihangaiko ya siku, sasa kuna mabrother flani deal zao huwa ni kuwavusha wasomali kutoka tanzania kwenda zambia kama mjuavyo hapa mpakani tunduma na zambia tupo free tu kuingia nchi nyngne na kutoka pamoja na biashara bila bughudha yoyote
Sasa swali kubwa ni hili ,je wasomali hawaruhusiwi kuhama nchi au kutembelea nchi nyingine? maana hawa watu inasemekana wanasafirishwa kwa gharama kubwa kitu kinachoashiria pesa ya document haiwashindi na hata ukiwafumania ukapiga mkwara kukuachia laki kadhaa ni kawaida, sasa ni kipi hasa kinafanya wawe wanasafiri kimagendo?
Karibuni kwa mchango wenu
Inavyosemekana?Inavyosemekana Somali pamoja na Ethiopia kupata vibari au paspoti ya kusafiria kwa vijana ni ngumu sana,sababu wanaitajika wakawe mstari wa mbele vitani kwa majeshi yao ya selikali zao,sasa imewekwe sheria ngumu kupata pasi za kusafiria
Kwa hiyo huwa wanaondoka bila vibari,lakini wengine wenye uwezo huwa wanatumia paspoti za Kenya na Tanzania