kusafirisha kabati, kitanda na vingine kutoka Arusha kuja Dat.

kusafirisha kabati, kitanda na vingine kutoka Arusha kuja Dat.

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Ni kitanda , kochi na kabati kutoka Arusha kuja Dar. Naomba bei ya usafirishani wa hivyo vifaa.
 
Ni heri uviuze huko then uje ununue vingine Dar. Ni mtazamo tu.
Na kama sitaki kuanza kuhangaika kuviuza?.!,!
Any wayss, the title still holds, no change of mind by passers by
 
Dar unafuata nini? Kama umehamishiwa Dar na vifaa vyako bado vinadai na huna mpango wa kurudi Ar na hukuwa na nyumba yako ambapo unaweza kuviacha, linganisha gharama ya kununua vingine na kusafirisha hivyo. Lakini pia angali aina ya usafiri visijekufika Dar vimeharibika.
 
Back
Top Bottom