Kama una king'amuzi chenye channel zifuatazo; kbc,Ubc,zbc,rvtge,tpa1,tvmozambique,muvi tv....basi umeula
Vipi TBC mkuu
Vipi TBC mkuu
Inaanza lini?
Ukiondoa DSTV,ni vingamuzi gani kati ya zuku,startime,continental,azam vitaweza kuonesha michuano ya AFCON!!?Msaada kwa mwenye ufahamu!!
Mkuu TBC wababaishaji tu
TBC nd'o nini?