Yaani kabisa unasema topic ya Projectile Motion ilikuwa ngumu!
Sasa advance uliiweza topic gani?
Nimesema ni ngumu tena sana with reference kwa watu waliosoma artsYaani kabisa unasema topic ya Projectile Motion ilikuwa ngumu!
Sasa advance uliiweza topic gani?
Yaani Topic y kwanza kabisa ngumu???Yaani kabisa unasema topic ya Projectile Motion ilikuwa ngumu!
Sasa advance uliiweza topic gani?
Hata mwenyewe nimemshangaa, tuliosoma technical sec.school hiyo inasomwa o- level, nimtelezo tuu, ukienda advance utanikuta kwenye mechanicsYaani kabisa unasema topic ya Projectile Motion ilikuwa ngumu!
Sasa advance uliiweza topic gani?