Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

Kaka punguza jazba,ondosha hisia katika hili,fanya utafiti ujiulize kwanini Accacia ndio walipe hilo deni,kama ulisikiliza hotuba ya John L thornton utafahamu kwanini Accacia imeingia katika hili sakata wakati Tanzania ilifanya mkataba na Barrick.....
 
Rais anapenda camera flont page za magazeti kila siku atokee ujue hiyo ni mbaya anaweza kufanya kitu hili atokee kwenye mwananchi magazine
 
Sasa ushindi tulioshinda sisi ni upi?Maana tulitangaziwa kuwa tumeshinda.Je tatizo ni lugha?Au tumeshinda mazungumzo badala ya kushinda sheria?
 
NAJIULIZA
Sakata hili la madini limenifanya nijiulize maswali yafuatayo.
1.Nini Maana ya kusema Major stakeholder ndiye anayehusika kwenye majadiliano?

2. Ile hoja ya kwamba major stakeholder ndiye mwenye sauti inaishia kwenye majadiliano tu?.

3.Kwanini Baada ya major stakeholder (Barrick) kukubali kulipa, bado Accacia wanasema hawana uwezo Wa kulipa?

4.Au Huu utaratibu Wa kusema Major stakeholder ndo mwenye sauti kwenye majadiliano ndo ulikuwa mtego?

5. Je Acacia wanapaswa kujibizana na Serikali au Barrick(Major stakeholders)?.

Naomba msaada kwa anayeweza kunijibu.
 
Wewe ni slow learner?,hata hivyo ngoja nione nitakusaidia namna fani?

Mchina wajF.
Na washawasha!

Bado sikuelewi, Mchina....

Is not an issue of being a slow learner because you have nothing......absolutely nothing that makes me learn anything from you....!!

Muhimu ni kwako wewe kujitahidi kuandika vizuri, kwa ufasaha ili kila akusomaye akuelewe kwa urahisi...!!

That was my point..., umeelewa sasa??
 
Imekuwa hivyo wakati jana tu baraki walikubali kulipa hawa Akasia hata sisi tu hatuwatambui kuwa wasemaji wa mgodi
Wekeni kumbukumbu sawa! Hawakukubali kulipa, ila walikubali kutoa bilioni 700 ili kuonyesha nia njema! Maana yake walichoahidi kutoa kwa kuwa siyo deni huwezi kuwadai popote! Ndiyo maana wanaonyesha nyodo!
 

Hivi ipi convenient zaidi, unanegotiate na mbia ( Barick) au na Management ( Acacia)?
 

Mkuu Stanley, Et Profesa Kala Magamba!!!! Hahahahaaaa!!.
Wewe ni miongoni mwa ma'great thinker wachache waliobakia Tz
 
bado lugha gongana. HIYO LUGHA YA NIA NJEMA,ILIKUWA NI KUTOA OVER A PERIOD OF TIME. SASA HWA WAJAMAA WAKAANZA JENGA JUKWAA LA KUCHAFUA WATU KISWAHILI,ILI KUCHUKUA SIFA KISIASA. Sasa wamechafua zaidi hewa, hiyo hela jamaa waliyokubali kuchangia kidogo kidogo hadi ifikie hiyo $300Mn kwa rafiki yao ambaye mrabaha unakatika kabla mwezi haujaenda, watajifikiria jinsi ya kuitoa au wapige dash..
 
itakua account ya migodi hii iko chini ya acasia,hawachanganyi,barick corp wana migodi mingi,hii ya kwetu iko chini ya acasia japo yenyewe inamilikiwa na Barick,
sasa hawa wanapobisha kulipa ni by design,kwani barick anaweza kulipa kutoka katika gawio lake linalotokana na share zake 64%,

katika ile board ,barick ana wajumbe 2,
acasia mjumbe 1 na independent shareholder wana wajumbe 2,utaona mwenyewe ikija kwenye kupiga kura ya maamuzi,barick atashindwa,na acasia ndo ana kura ya maamuzi aegemee kwa kampuni mama,yaani barick ama aungane na wale shareholder wengine
 
itakua account ya migodi hii iko chini ya acasia,hawachanganyi,barick corp wana migodi mingi,hii ya kwetu iko chini ya acasia japo yenyewe inamilikiwa na Barick,
sasa hawa wanapobisha kulipa ni by design,kwani barick anaweza kulipa kutoka katika gawio lake linalotokana na share zake 64%,

katika ile board ,barick ana wajumbe 2,
acasia mjumbe 1 na independent shareholder wana wajumbe 2,utaona mwenyewe ikija kwenye kupiga kura ya maamuzi,barick atashindwa,na acasia ndo ana kura ya maamuzi aegemee kwa kampuni mama,yaani barick ama aungane na wale shareholder wengine
 

Kama kuna watu ambao siwapi umakini wa kuwasikiliza sana ni Acacia. Mwisho wa siku ni kweli Acacia wanaweza wasiweze kulipa kiasi hicho.. lakini je Barrick hawana kiasi hicho chote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…