The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,536
VIBARAKA mnahangaika kweli kweli! Kwani Acacia ni nani!! Wakati mumewe (Barick) ameshakubali na kusaini matakwa ya serikali.
Ndo umwulize Rais wako, Tunao wadai hatujafanya nao mazungumzo, na wamesema hawalipi.Sina uhakika mim na wewe nan kichwa nazi, Barrick walikuja kufanya nn kama hawadaiwi?
Nani kakwambia Mimi ni wa ufipaNakualika kwenye tafrija kubwa hapa ufipa Kinondoni leo tushangilie hizi habari usiku mzima. Makamanda wengine wote wamealikwa pia.
Anakosea bwana, si alisema matrilioni huyoProf Kabudi huwa hakosei lazima walipe tu maana hakuna namna nyingine,watalipa tu
Mwenye mbwa ni nan kaka?Watu wanaongea na mwenye mbwa sio mbwa!
Kama watu wengine walivyofurahi watu kupoteza majumba Moro roadHivi kumbe kunawatz wanashangilia tz kupoteza? Yaan wanaona ni aheri acacia wapate kuliko tz kupata...
Tunasafari ndefu sana, ila mwisho wa siku tz itashinda..
Lugha nyepesi ni hii kama hawataki waondoke basi tubaki na madin yetu...
Acacia ndo Barrick huyo huyo mkuuMajor shareholder ni Barrick sasa Acacia ni nani
Acacia ndo Barrick huyo huyo mkuuMajor shareholder ni Barrick sasa Acacia ni nani
Acacia ndo Barrick huyo huyo mkuuMajor shareholder ni Barrick sasa Acacia ni nani
Kwa hiyo hapo unasubiri 14,000 zakoTobbo Lissu " Barrick wataipeleka serikali mahakamani" Lissu " Wanasheria msiende kazini" Lissu Mazungumzo hayawezi kufanyika Mali za nchi zitakamatwa" Huyo ndo Rais wa Nairobi Hospital Tobbo Lissu
Labda nikuulize kidogo kama hao wanasheria wa barrick na huyo kabudi ndio unawaamini sana vipi kuhusu Chenge, Werema na Mwanyika ambao ndio waliosani mikataba ya kishenzi na hao wanasheria wa Barrick hadi kutufikisha hapa tulipo je hawakuwa na akili?Sawa mkuu. Wewe unajua kuliko wanasheria wa Barrick na akina Kabudi waliofikia uamuzi huu. Nimekuelewa mtaalamu.
HahahaaHivi kati ya mwenye mbwa na mbwa, nani huwa anang'ata kati yao
Uchochezi huokwahiyo jana kulikua na tamasha la bongo movie ikulu?
Kumbe walioingia mikataba ya hovyo walikuwa hawajafika hata secondary!MMMhhhh
WaTanzania tumekuwa wa hovyo kushangilia vitu vya hovyo badala ya kutumia akili zenu kuelewa.
Hii ni shida kweli..... Magufuli aendelee kutoa elimu bure hadi secondari maana ujinga ujinga ni mwingi mno.