Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Leo asubuhi kuna mtu aliingia na kutumia password na kuingia katika email yangu akidai pesa kwa kutumia signature yangu. Ameingia hadi katika sent items na kufuta zoote kiasi kwamba siwezi tena kuzipata data zangu muhimu nilizotunza zaidi ya miaka 15 sasa. Je nifanyeje ili niweze kusoma tena folder la sent items? kuna ujanja wowote hapo ama ndio imekula kwangu for good? TIA
Ingia Junk box utazipata zote
Una maanisha spam folder? Nimeenda hadi trash nimekuta wamefagia zote
Pole sana
Leo asubuhi kuna mtu aliingia na kutumia password na kuingia katika email yangu akidai pesa kwa kutumia signature yangu. Ameingia hadi katika sent items na kufuta zoote kiasi kwamba siwezi tena kuzipata data zangu muhimu nilizotunza zaidi ya miaka 15 sasa. Je nifanyeje ili niweze kusoma tena folder la sent items? kuna ujanja wowote hapo ama ndio imekula kwangu for good? TIA
kama ni gmail zinarudi zote lkn hiyo ni onetime process...mm wanipa refund ya hela kutoka aliexpress nilipoenda CRDB wakanidai email iliyotuwa kuonesha hicho kitu sasa mimi hiyo email nilishafuta kitambo tu...nilishofanya nili google "how to recover deleted emails" mpaka wakazirudisha zote
Asante sana mkuu, I will do the same
Mkuu asante sana hawa wazungu ni shenzi sana
yako ni google/gmail acc?
Ha ha haaa usiwatukane aisee.. Labda hatujui jinsi ya kurejesha mafail..
Hawa jamaa ni wa mtaani tu nishawajua coz wamejack acc 2 kwa mara moja na details zao ni accent ya kizungu
Mkuu ni yahoo.com