mimi43 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 407 Reaction score 429 Oct 28, 2019 #1 Husika na mada tajwa hapo juu, Kuna baadhi ya applications nilizipin kwenye taskbar, sasa leo ghafla nikaona hazionyeshi zile picha zake (icons) na nikifungua hazifunguki. Naomba mwenye kujua namna ya kurecover hizo applications maana nimeenda kuzifungua kwenye window explorer nimeona zimefutika. Hizo applications zipo kama sita ambazo ni Pes 2017, Chromium, Dictionary, Need for Speed na VLC. Kuna picha nimeweka hapo mfano wa game la Pes 2017.
Husika na mada tajwa hapo juu, Kuna baadhi ya applications nilizipin kwenye taskbar, sasa leo ghafla nikaona hazionyeshi zile picha zake (icons) na nikifungua hazifunguki. Naomba mwenye kujua namna ya kurecover hizo applications maana nimeenda kuzifungua kwenye window explorer nimeona zimefutika. Hizo applications zipo kama sita ambazo ni Pes 2017, Chromium, Dictionary, Need for Speed na VLC. Kuna picha nimeweka hapo mfano wa game la Pes 2017.
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,611 Oct 28, 2019 #2 Fanya installation upya
mimi43 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 407 Reaction score 429 Oct 29, 2019 Thread starter #3 Kamwene kamwene said: Fanya installation upya Click to expand... sawa mkuu ndo nilichooma maana nimetumia njia tofauti zimegoma ku recover
Kamwene kamwene said: Fanya installation upya Click to expand... sawa mkuu ndo nilichooma maana nimetumia njia tofauti zimegoma ku recover
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,310 Oct 30, 2019 #4 mimi43 said: Naomba mwenye kujua namna ya kurecover hizo applications maana nimeenda kuzifungua kwenye window explorer nimeona zimefutika. Click to expand... Tumia 'EasyUS Data recovery pro'. Kamwene kamwene said: Fanya installation upya Click to expand... Installation itafuta anachokitaka.
mimi43 said: Naomba mwenye kujua namna ya kurecover hizo applications maana nimeenda kuzifungua kwenye window explorer nimeona zimefutika. Click to expand... Tumia 'EasyUS Data recovery pro'. Kamwene kamwene said: Fanya installation upya Click to expand... Installation itafuta anachokitaka.
mimi43 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 407 Reaction score 429 Oct 30, 2019 Thread starter #5 Chamoto said: Tumia 'EasyUS Data recovery pro'. Installation itafuta anachokitaka. Click to expand... sawa mkuu, hii EasyUs Data recovery pro ni free au ya kulipia ?
Chamoto said: Tumia 'EasyUS Data recovery pro'. Installation itafuta anachokitaka. Click to expand... sawa mkuu, hii EasyUs Data recovery pro ni free au ya kulipia ?
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,936 Reaction score 3,054 Oct 30, 2019 #6 mimi43 said: sawa mkuu, hii EasyUs Data recovery pro ni free au ya kulipia ? Click to expand... Ukikoswa msaada karibu kwenye yakulipia elfu tano tu , wengi imewasaidia humu ndani.. tumia hizo free tools zikishindwa njoo nikuuzie pro tools
mimi43 said: sawa mkuu, hii EasyUs Data recovery pro ni free au ya kulipia ? Click to expand... Ukikoswa msaada karibu kwenye yakulipia elfu tano tu , wengi imewasaidia humu ndani.. tumia hizo free tools zikishindwa njoo nikuuzie pro tools
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,310 Oct 30, 2019 #7 mimi43 said: sawa mkuu, hii EasyUs Data recovery pro ni free au ya kulipia ? Click to expand... Ni ya kulipia ila...
mimi43 said: sawa mkuu, hii EasyUs Data recovery pro ni free au ya kulipia ? Click to expand... Ni ya kulipia ila...
mimi43 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 407 Reaction score 429 Nov 1, 2019 Thread starter #8 ashomile said: Ukikoswa msaada karibu kwenye yakulipia elfu tano tu , wengi imewasaidia humu ndani.. tumia hizo free tools zikishindwa njoo nikuuzie pro tools Click to expand... sawa mkuu
ashomile said: Ukikoswa msaada karibu kwenye yakulipia elfu tano tu , wengi imewasaidia humu ndani.. tumia hizo free tools zikishindwa njoo nikuuzie pro tools Click to expand... sawa mkuu
mimi43 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 407 Reaction score 429 Nov 1, 2019 Thread starter #9 Chamoto said: Ni ya kulipia ila... Click to expand... ila nini tena kiongozi ?
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,310 Nov 1, 2019 #10 mimi43 said: ila nini tena kiongozi ? Click to expand... Siwezi weka sababu hapa kwakuwa ni kinyume na sheria za JF.
mimi43 said: ila nini tena kiongozi ? Click to expand... Siwezi weka sababu hapa kwakuwa ni kinyume na sheria za JF.